KIJANA MZALENDO AMHURUMIA BITEKO "ANAUNDIWA ZENGWE ZITO MUDA SI MREFU UTALISIKIA/KANYOOKA SANA"
HTML-код
- Опубликовано: 11 апр 2025
- KIJANA MZALENDO AMHURUMIA BITEKO "ANAUNDIWA ZENGWE ZITO MUDA SI MREFU UTALISIKIA/KANYOOKA SANA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WhatsApp MwanaHALISI TV (+255 692 318213)
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
Ni kweli kabisa MAlendo unayosema kweli tupu kumeingia mifisadi inamchukia Umeme uutoke nje wakati Bwawa la Mwalimu Nyerere limekwisha kazi kila kitu kiko sawa leo tunanunua umeme Mungu tusaidie mifisadi ya Awamu ya Sita bin ya nne inatusimbua mijizi kila kona
@@margarethpolepole7438 hana uzalendo wowote amejaa fitina na majungu tu
Nkindikwa uko vizuri sana, safi sana kijana mzalendo
Dotto Biteko ni jembe ila anafanya kazi na watu wasiofaa ccm haifai kabisa ukweli usemwe watawala wapo kwa maslahi yao binafsi tunazidiwa na Rwanda ina maendeleo
Watanzania tunachezewa sana. Ujinga gani huu? Ni Nani katuroga? Wazi wazi na kwa ujanja ujanja Kikwete anatuchagulia Rais mitano tena.Tunapiga makofi. Tukinuna wanatuimbia SIMBA NA YANGA, AMA kweli Kikwete ngang wametufanya wajinga. Wamewanyang’anya madaraka wananchi, bila aibu nchi imekuwa yawo. Kwa sasa ni nani Rais? Kikwete ama Samia?
😢😢😢😢 ila kweli Salim A Salim alikua bonge la kiongoz
Doto ni Best
Mungu amlinde Dotto Biteko ana vita kali kila kona wanampiga vita kweli umeme kununuliwa nje wakati Bwawa letu limekamilika
Nakufatilia xan kaka unafaa kuitwa mzalendo kwel
Doto biteko nakushauli usije ukapuzia maneno ya mzalendo nikweli Kuna kitu chochote kitakukuta. Na Mimi nakuongezea kuwa makini hasa Katia misafala yako , ukiumwa kuwa makini , chakula unachoandaliwa visemeo vya kuongelea na vingine vingi Asante tunakupenda
Sasa hivi Umeme umerudi kukatika katika hovyooo tena
Hapo umechemka hakuna kitu Kama hicho hiyo sio Sababu ya Biteko kuwa naibu waziri mkuu,majaliwa anatosha Sana kuwa waziri mkuu lkn umefungwa mikono unaambiwa pigana,lengo lake zone bwana
Utaona mengi watu wasiopenda ukweli utawaona tu nchi zetu Za África mijambazi serikalini wengi umeme ukikatika kuna watu wananufaika na wapo hawachukuliwi hatua ,nchi zingine wanavunjwa miguu Hakuna uhuni hata kidogo.
Unavyozungumza.dotto biteko ni jembe ni kweli baada ya mama.samia Kumarina.muda.wake nampendelea.dotto biteko ndio atamuweza.belgiji kwa.maana dotto.biteko ni jembe
Chai kunywa nyumbani kwako ndio uende Ofisini. Nawa mikono ujifute kwa leso yako mwenyewe sio taulo ya kuwekewa na muhudumu
Hapo kwenye magufuli hakubagua, umebugi men
Watu wa kaskazini na nyanda za juu kusini walitengwa kubaguliwa, kutwezwa , kuhujumiwa na nani?
Na matubabu ya India au check up aziepuke kabisa
Mim nasema mpina nsraa
Unasema Biteko ni mzalendo toka bei ya kuunganishiwa umeme kutoka elf 27 mpaka lak 3 hajawhi kuongea kitu chochote,sasa kuna kununua umeme kutoka Ethiopia sijaisikia kauli yake kama Wazirr wa Nishati yupo kimya
Makonda hilo ni jembe jingine linapalilia pa kavu na miba
Huyu anachokiongea hakijui mwelewa hapo ni Mwandishi tu muongeaji ni Dishi kambisa
Kwa uelewa wako
Majitu mengine ni Majinga sana